Na, Fahadi Siraji - KIMTZ ENTERTAINMENT.
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, leo imetoa hukumu ya kesi.ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Nyamagana, iliyofunguliwa na Ezekiel Wenje mgombea ubunge (CHADEMA) dhidi ya Stansalus Mabula (CCM) aliyeibuka kidedea katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Katika hukumu hiyo mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi la Wenje dhidi ya Mabula (CCM) hivyo kuidhinisha rasmi ushindi wa Mabula kwa 2015-2020

No comments:
Post a Comment