Ni kazi nyingine tena kutoka hapa hapa jijini Mwanza.
karibu tujumuike katika hoteli ya JB Belmont 21/June/2014 na pale CCM Kirumba 22/Juni/2014
Hakuna kiingilio. Usikose.
Washiriki wa filamu hii ni; Hussein Kimu, Anitha, Kulwa Kikumba (Dude), Dokii, Cathy, na wengineo wengi.

No comments:
Post a Comment