Ilikuwa ni furaha na burudani kwa wadau mbalimbali waliojitokeza katika uzinduzi wa filamu ya Kiswahili inayokwenda kwa jina la I LOVE MWANZA, ilipozinduliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, katika hotel ya JB Belmont tarehe 21/Juni/2014 kisha 22/Juni/2014 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, fuatilia picha hizi na utakubaliana nasi kuwa mambo hayakuwa ya kitoto.
picha by; Tropical Media
Wednesday, June 25, 2014
Waziri Membe azindua filamu ya I LOVE MWANZA kwa kishindo
Waziri Membe azindua filamu ya I LOVE MWANZA kwa kishindo
Reviewed by Kisibi Isaya
on
5:12:00 PM
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment