Hii yaweza kuwa ni mpya kwako lakini ndio ukweli huo.
Kwa wakazi wa Mkoani Mwanza waliokuwa katika uzinduzi wa kipindi cha TV cha NITETEE (Sauti ya Wanyonge) watakuwa wamejionea vya kutosha na kuhakikisha kweli Mjomba kavaa viatu.
Tazama picha ujionee mwenyewe usisubiri kuhadithiwa.
Tazama picha zaidi za uzinduzi huo hapa
http://florashow1.blogspot.com/2015/03/nitetee-foundation-yazinduliwa-rasmi.html
Tuesday, March 3, 2015
Mara ngapi umewahi kumuona 'MJOMBA MPOTO' kavaa viatu?
Mara ngapi umewahi kumuona 'MJOMBA MPOTO' kavaa viatu?
Reviewed by Kisibi Isaya
on
10:32:00 AM
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment