Latest News

Wednesday, March 16, 2016

LULU - Elizabeth Michael pamoja na Bwana Hussein KIM



Bwana Hussein KIM ambaye ni mmiliki wa blog hii na mjumbe wa bodi ya filamu Tanzania akisalimiana na mshindi wa Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) iliyofanyika Nchini Nigeria, Elizabeth Michael - LULU katika ofisi za shirikisho Dar es Salaam.
picha ya kati kati ni rasi wa TAFF bwana Simon Mwakifamba pamoja na LULU ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment