Latest News

Friday, March 18, 2016

M/Kiti UVCCM Ilemela katika ziara ya ujenzi wa chama.

Na, Fahadi Siraji.
M/kiti wa uvccm wilaya ya Ilemela ndugu Kheri D.James kwa kushirikiana na katibu wake Hussein Egobano leo ameendelea na ziara yake ya kutatua changamoto zinazoikabili jumuiya ndani ya wilaya hiyo kwa kuwaelekeza namna ya kuwa wamoja katika safari hii ya kuelekea Uchaguzi wa jumuiya ndani ya Chama lakini pia amewasisitiza viongozi kuendelea kukitumikia Chama kila mmoja kwa nafasi yake Bila kujali Kuna posho au hakuna posho.... Pamoja na mambo mengine amewatahadhalisha ambao wako mguu mmoja CCM mwingine upinzani ya kwamba huku si mahala pake.

No comments:

Post a Comment