Latest News

Sunday, March 27, 2016

Ujumbe wa Pasaka kutoka kwa Mkurugenzi wa KIMTZ Entertainment

Hiki ndicho alichokisema Mkurugenzi wa KIMTZ ENTERTAINMENT kwa wote wanaofurahia na kuadhimisha sikuukuu hii ya Pasaka.

"Ndugu zangu watanzania wenzangu wapenda amani, usawa umoja na mshikamano.
Naomba kuwatakia kheri ya Pasaka umoja wetu ndio mafanikio yetu.

Hussein Kimu,
Mkurugenzi wa KIMTZ ENTERTAINMENT www.kimtzentertaiment.blogspot.com

No comments:

Post a Comment