Latest News

Thursday, March 31, 2016

WABUNGE WATATU MAHAKAMANI kwa kudai rushwa ya Mil 30 kila mmoja.

Wabunge watatu leo wamefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kutaka rushwa ya Sh. Milioni 30 kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri (W) Gairo, wabunge hao walikuwa ni wajumbe katika Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa ambao ni. 

Suleiman Ahmed Saddiq Mbunge wa Mvomero,

Victor Mwambalaswa Mbunge wa Lupa na

Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara.
Tuhuma za makosa hayo ni kinyume na Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11 ya mwaka 2007 kifungu cha 15 (i)(a)

No comments:

Post a Comment