Latest News

Wednesday, March 16, 2016

Waziri wa Michezo, Habari, Sanaa na Utamaduni akutana na wadau pamoja na KIM Entertainment.

KIM TZ Entertainment pamoja na wadau tofauti tofauti walipokutana na ndugu Nape Nnauye, waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni katika mazungumzo pamoja na kupongezana kwa mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa.














No comments:

Post a Comment