Na FAHADI SIRAJIViongozi wa kisiasa, wafanyabiashara, viongozi wa kiserikali na wafanyajazi
wametakiwa kuwajali na kuwathamini sana watoto wenye ulemavu na wanaoishi
kwenye mazingira magumu kwani wao pia ni binadamu wanao sitahili kupata
haki na mahitajj muhimu ya kibinadsmu
Hayo yamebainishwa na leo na kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu
Shaka wakati alipotembelea shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo
mkoani Kilimanjaro yenye jua huduma watoto wenye ulemavu wa viungo na MTI
ndio wa akili.
Alisema kuwa ni muhimu kuwajali sana watoto wenye ulemavu kwani
wakitengenezwa vizuri na kuandaliwa vizuri kwa kupewa elimu watakuwa
viongozi wazuri wa baadae.
Aidha alivitaka vyama Vya siasa vijielekeze kutatua changamoto na ma tatizo
ya watoto ambao ni Walemavu na sio kuendeleza Kufanya siasa ata sehemu
ambayo aitakiwi siasa.
"napenda kuviambia vyama vingine vya siasa sasa ivi uchaguzi imeisha ni
kipindi cha kufanya kazi na kuachana na siasa sasa ivi ni kipindi cha
kufanya kazi na kutatua ma tatizo ya wananchi " alisema Shaka.
Kwa upande wa Mkuu wa shule ya msingi Mreyai, Nuruel Laizer alisema kuwa
shule hiyo inahudumia wanafunzi wenye Mtindio wa akili na wanafunzi ambao
ni walemavu wa viungo ambapo alisema kuwa shule hiyo inakabiliwa na
changamoto mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa chakula cha wanafunzi, ukosefu
wa vitanda na mgodoro ya kulalia Wanafunzi ambao ni walemavu ,baskeli kwa
ajili ya watoto ambao ni walemavu wa miguu.
Alisema kuwa Wanafunzi hao wanakaa katika ma bweni apo shule ni lakini
wanaupungufu mkubwa wa vitanda na mgodoro kwani vitanda ambavyo wana vitu
mia wameviazima kutoka kwa watu na mda wowote wenyewe wanaweza kuja
kuchukuwa.
Aliomba serekali pamoja na wadau mbalimbali kujitokeza kuwasaidia kitu icho
ili watoto hao waweze kuishi kwa amani na furaha kama watoto.
"watoto hawa wanawazazi lakini wazazi hao hawana uwezo na ndio maana wa me
wamewaleta Hapa ili wapate elimu hivyo tu naomba sana serekali na wadau
mbalimbali wajitokeze kutusaidia"alisema laizer
Shule hii ya msingi Mreyai imepata msaada wa chakula, maharage, malindi,
sabuni, mafuta, miswaki na kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu
Shaka aliaidi kusaidia shule hii vitanda Nane na mgodoro kwa ajili ya
wanafunzi hawa wenye ulemavu wa viungo pamoja na Mtindio wa ubongo.
Wanafunzi wa shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo mkoa wa kirimanjaro wakisikiliza kwa makini ugeni wa kaimu katibu mkuu uvccm taifa Shaka Hamdu Shaka
Wanafunzi na ugeni ukisikiliza Risala iliyo somwa na mmoja wa wanafunzi walemafu katika shule hiyo
Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka akipokea Risala ya Wanafunzi
mkuu wa shule ya msingi Mreyai Nuruel
Laizer wa kwanza kushoto akifuatiwa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa
kilimanjaro Juma Rahibu Juma akifuatiwa na kaimu katibu mkuu UVCCM
taifa katika makabidhiano ya baadhi ya msaada ambao ulipelekwa shuleni
hapomkuu wa shule ya msingi Mreyai Nuruel Laizer wa kwanza kushoto akifuatiwa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro Juma Rahibu Juma akifuatiwa na kaimu katibu mkuu UVCCM taifa katika makabidhiano ya baadhi ya msaada ambao ulipelekwa shuleni hapo
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka alizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mreyai
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka alizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mreyai
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akizungumza na moja ya Wanafunzi wenye ulemavu
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akipanda mti
Wanafunzi wa Shule ya msingi Mreyai wakifurahi pamoja na
-Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka











No comments:
Post a Comment