KIM Entertaiment uso kwa uso na washindi wa Tunzo za Afrika (AMVCA)
Ilikuwa ni furaha na shangwe katika hafla ya kuwapongeza bwana Single Mtambalike (Richie Richie) pamoja na bibie Elizabeth Michael (Lulu) baada ya kurudi na Tunzo ya mshindi Bora wa Filamu za Kiswahili East Afrika (AMVCA) ziliyofanyika Nchini Nigeria.
Pichani ni msanii nguli na mmlikiwa blog hii bwana HUSSEIN KIM pamoja na washindi hao.

KIM Entertaiment uso kwa uso na washindi wa Tunzo za Afrika (AMVCA)
Reviewed by
Kisibi Isaya
on
10:50:00 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment