Latest News

Friday, April 1, 2016

Mlezi Jumuiya ya Wazazi Mkoa na MNEC Nyamagana ashiriki ufunguzi wa Jumuiya ya Wazazi wilayani Misungwi

Na, Fahadi Siraji.

Mlezi wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza na MNEC (CCM) wa wilaya Nyamagana bwana Jamal Abdul Babu ameshiriki kwenye ufunguzi wa sherehe ya jumuiya ya wazazi mkoa wa Mwanza zilizo ambatana pamoja na  shughuli za upandaji miti katika wilaya ya Misungwi kata ya Shilalo kijiji cha N'gobo.

No comments:

Post a Comment