Na, Fahadi Siraji. KIMTZ Entertainment
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndugu Shaka H. Shaka amewasili jijini Mwanza leo hii tayari ameanza rasmi semina elekezi ya kiutendaji kwa Makatibu wa UVCCM Wilaya na Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Geita na kagera.

No comments:
Post a Comment