Latest News

Sunday, April 3, 2016

Mlezi Wazazi Mkoa aendelea na ziara.

Na, Fahadi Siraji - KIMTZ Entertainment.

Mlezi wa jumuiya ya wazazi mkoa Mwanza na MNEC wa Nyamagana akiendelea na maadhimisho ya wiki ya wazazi leo ametambelea shule ya msingi Nyegezi na shule ya msingi na sekondari Nyabulogoya ambapo  alishiriki kupanda miti na kukagua shughuli za maendeleo na taaluma.katika shule hizo.

No comments:

Post a Comment